Ilani ya CCM Kwa Vijana 2025-2030
Tafadhali andika jina lako kamili kwa ajili ya kuanza mazungumzo na Kijani Ilani CHATBOT.
Kijani Ilani Chatbot ni huduma ya kidijitali inayokupa taarifa na uchambuzi wa utekelezaji wa Ilani na faida kwa vijana. Jiunge nasi kujifunza na kuchukua nafasi yako katika mabadiliko chanya ya taifa